iqna

IQNA

radovan karadzic
Waislamu huko Bosnia Herzegovina wamebainisha kusikitishwa na kifungo cha miaka 40 tu jela alichohukumiwa Radovan Karadzic aliyekuwa kiongozi wa zamani wa Bosnia Serbia ambaye amepatikana na hatia ya kuua Waislamu 7,000.
Habari ID: 3470214    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/25